Tag Archives: Swahili

VICHEKESHO VYA KUVUNJA MBAVU ZAKO

Kuna vichaa walitolewa hospitali moja kwenda nyingne asa wakiwa njiani wakaambiwa wakachimbe dawa(wajisaidie) alafu safari iendelee waliposhuka kila mtu na njia yake wakakimbia dereva kuona hivyo akamwambia konda tutafanyaje sasa? Konda akajibu niachie mimi nitaliweka sawa hilo wakaondoka wakafika stend wakakuta abiria kibao wakashusha nauli watu wakajazana konda akasema dereva haina kituo hiyo mojakwa moja mpaka hospital,.

Gusa hapa ujiunge>> VICHEKESHO KUMU VYA KUVUNJAMBAVU 2022


MKE: vipi leo mbona mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa,
MKE: ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: nilikuwa chooni, jirani na ofisi najisaidia.
MKE: Loh masikini familia zao itakuwaje?
MUME: watalipwa milioni 100 kila mfiwa.
MKE KWA HASIRA: ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela..ungeenda kunya akhera……
Ungekuwa Mwanaume Ungejibu Vip


Mlevi kakutwa akikojoa eneo la
shule, Mwalimu mkuu akamuuliza,
hilo bango hapo limeandikwaje?
Mlevi akajibu ‘USIKOJOE HAPA’.
Mwl: Kwahiyo unafanya nini
hapo?
Mlevi kwa makini na upole
akajibu: HAKI YA MUNGU NILIJUA
NDIO JINA LA SHULE!!


STORI ZA VICHEKESHO VYA KUVUNJA MBAVU

mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahi
mimi; kwa nini?
mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguu
mimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zariโ€ฆ

Gusa hapa jiunge>> VICHEKESHO YA MWEZI HUU TAFUTA HAPA (MPYA)

Mlevi katuma meseji kwa mke wake; “Darling nipo bar napata mbili tatu,nitaludi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo,ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji”. mke wake akakaa dakika hamsini kimya,kaisoma tena meseji inamwambia Nitarudi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji.
hahahahaaaa…………kumbe kila akirudia mesejiinamwambia vilevile ila inamuongezea dakika hamsini..jamaa akarudi kesho yake asubuhi mkewe alichoka ile mbaya…

Magemu mazuri ya kucheza kwenye Simu


Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga.
MWAL: Safi sana Rose. Utakua utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi.
MWAL: Na wewe James??
JAMES: mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiweโ€ฆโ€ฆ”
Akameza mate kisha akaendeleaโ€ฆ.
“Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilionea ninayeogopwa. Lakini pia nataka kuwa na mke mzuuuri sana ambaye nitakuwa natembea nae kila mahali.”
MWAL: ndoto nzuri sn lakini unahitaji bidii sana kutimiza. Haya na wewe Jenny tueleze unataka kuwa nani??
JENNY: Nataka kuwa mke wa James.!!

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO


WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO
MLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweli
MLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeli
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚


JINSI YA KUANGALIA KAMA LINE/SIMU YAKO IMEUNGANISHWA AU INACHUNGUZWA NA MTU MWINGINE

1. Nenda katika sehemu ya kupigia simu.

Hii ni sehemu ambayo wewe huadika namba na kuipiga (kwa wenye simu za batani wanaweza kuanza moja kwa moja na hatua ya pili ya bonyeza namba)

2. Bonyeza namba *#61#

Hakikisha mara mbili mbali hizi namba (*#61#) ili kuepuka kukosea na kukupelekea wewe upate majibu yasio sahihi.

3. Piga kisha subiri kwa muda.

Baada ya kuziandika vizuri kabisa hizo namba zipige na usubiri kwa muda kisha utapewa wajibu.

4. Angalia majibu.

Kama majibu yatakayokuja yatakua ni “No forwarded” basi jua simu yako haijaunganishwa na mtu yoyote nanaekuchunguza. kama majibu yatakayokuja yatakua ni “Forwarded” basi jua kuwa simu yako imeunganishwa na mtu naeweza pata taalifa zako (baadhi anajua watu wanaowailiana na wewe).

Na kama umekuta unachunguzwa piga ##21# kujiondoa.

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

SMS TAMU ZA MAPENZI

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpenzi
*ยฐยท.ยธยธ.ยฐ ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Gusa hapa>> TAFUTA HAPA SMS ZA MAPENZI ZA MWEZI HUU (MPYA)

“Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda
kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe”
nakupenda laazizi
“Kama mimi nilikuwa na maua kila wakati
mawazo yangu
yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla
yako je wewe ungekuwepo nayo
ungempa nani kwanza? ”
*ยฐยท.ยธยธ.ยฐ ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu
Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi
mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo
Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Figganigga
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Gusa hapa>> MPAGAWISHE MPENZI WAKO KWA SMS TAMU SANA ZA MAPENZI ZIPATIKANAZO HAPA

naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua
nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu
ili
kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako
mpenzi.nakupenda sana laazizi
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda
pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu
wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo
” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwisho
akunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni
zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana Figganigga
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi
haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane
badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku
wakigombana wataachana.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Gusa hapa>> MAMBO YATAKAYOFANYA PENZI LENU LIDUMU, HAYA HAPA

Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni
yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea
kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na
karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

>>———>>> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi
unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia nakupenda
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Gusa hapa>> WANAKUTUMIA SMS MPYA ZA MAPENZI KILA SIKU BURE, USIACHE KUIJUA HII

JINSI YA KUFANYA MWANAUME AVUTIWE NA WEWE NA AKUAPROACH

1 Onyesha upande wako wa furaha.
Wakati umeenda sehemu ambayo umemwona mwanaume unayemzimia, ni bora uonyeshe ule upande wako wa furaha. Cheka na wenzako, furahia nk. Akikuona tu atakuappoach.

2 Fanya kujigongesha mbele ya umpendaye. Wakati mupopamoja tembea ule upande wake halafu ujigonganishe nayeye kisha sema โ€œOh, samahani. Pole โ€“ huwa najisahau mara nyingi ninapozungukwa na wanaume wakupendeza.โ€ Halafu jitambulishe.

3. Mtese kidogo. Mfano: Wakati anakwambia jina lake kwa mara ya kwanza, jifanye hujaliskia sema, โ€œWasema?โ€ ili apate kuegemea karibu yako aweze kujiridia kwa mara nyingine. Halafu sema, โ€œNini?โ€ huku ukitabasamu. Utakuwa umeyaanzisha maongezi yenu na ucheshi.

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

4. Fanya mazoezi ya kumchokoza na kumteka. Ingiza mbinu yako uliyobobea ya kusuka mara moja au nyingine, kama vile wahudumu wa kike hotelini. Amini usiamini hili litaongeza confidence yako wakati unapoongea na mtu unayempenda.

5. Mwache akuone unamchungulia.
Kama na yeye atakuangalia, tabasamu. Ukifanya ivyo utampa hamu ya kukuaproach.

6. Kuwa interested. Wakati anapoongea na wewe hakikisha kuwa unaonyesha interest yako kwa kumuuliza maswali ili na yeye apate nafasi ya kujibu na hii atahisi mupo pamoja.

7. Chunguza vitu anavyovipenda Angalia nguo zake. Muulize timu anayoipenda, mchezaji, gemu nk kutokana na mavazi yake. Bila shaka atagundua kuwa umemnotice.

8. Jipulize marashi kwa shingo yako.
Hii bila shaka mwanaume unayemzimia atagundua tu.

9. Tabirika wakati mwingine. Ule wakati ambao umejigongesha maksudi mbele ya mwanaume, hakikisha kuomba radhi kwako unakuzidisha kiasi cha kuwa atagundua unajaribu kufanya maksudi.

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

10. Andika jumbe katika Instagram yake. โ€œHii picha inachekesha. Hivi ulikuwa unafanya nini hapa?โ€ Wakijibu semaโ€™ โ€œUnapaswa kuniambia ana kwa ana. ๐Ÿ™‚ Wataka hii wikendi tumeet ama?โ€
11. Usimjibu. Jaribu kuitumia hii mbinu. Wakati ambapo anakutext, usijibu kila swali ambalo atakuwa akikuuliza. Acha maswali mengine yakielea. Hapa utakuwa unampa wakati wa kukufukuzia zaidi kutaka kukuelewa.

12. Facebook sinema, vipindi ama gemu ambazo unataka kuziona. Kama yuko interested na moja wapo ya hizo basi atapata kisababu cha kutaka mkutane.

13. Pitisha karatasi iliyoandikwa kwa mkono katika party ambayo inasema, โ€œNilikuwa nakusalimia!โ€ Ipitishe kwa mfuko wake – hii inafanya maajabu zaidi kuliko text za simu.

14. Msuke kabla hujamuona. Mtext umwaambie, โ€œUnapaswa kuvalia ile tsheti ya blue leo usiku โ€“ inayafanya macho yako yapendeze.โ€

15. Mtie wasiwasi. Hivi ndivyo vya kufanya: Mara ya kwanza umpendaye anapokutext, mjibu, โ€œWewe ni nani?โ€ Atakapojieleza,sema, โ€œntakosaje kukutambua? :)โ€ Unamvutia.

16.Wakati anaonyesha dalili za kukutongoza usikubaliane na yeye hapo hapo. Msumbue na umpatie wakati mgumu mpaka ile siku utaona imefikia wakati wa kumkubali.

17. Wakati ambao unataka kumuwish gudbye, fanya kumsogelea kana kwamba unataka kumbusu lakini nenda hadi kwa sikio lake na umwamnieโ€™ โ€œUsiku mwema.โ€

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu!


Gusa ujiunge hapa>> SMS ZOTE MPYA ZITAFUTE HAPA(SMS 300)
Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu!


Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!


Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!


Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene!


Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear…

Gusa hapa kujiunga>>JIFUNZE MUFANYA MWANAMKE YOYOTE AKUELEWE, TAFUTA HAPA


Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!


maneno million haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.


Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba
haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO


Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda
kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi
kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako
chozi, na daima nitakuenzi.


JINSI RAHISI YA KUMTONGOZA MWANAMKE UMPENDAE

Kama umekua ukimpenda mwanamke na hujui jinsi ya kumutongoza leo nakueleza jinsi ya kufanya hivyo kirahisi kabisa.kikubwa ni kujiamini tu kisha fuata Yafuatayo;

1: Ukimwita mwanamke njiani au mahali popote kitu cha kwanza inatakiwa uwe nadhifu(msafi) halafu mpe salamu, usikrupuke tu kisha muulze jina lake hatakama nijina la kawaida tu mwambie jina lako zuri (Kama atakua hayupo sawa basi tumia ucheshi kidogo ili kumuweka sawa)

Gusa hapa kujiunga>> TONGOZA KWA SMS HIZI TU LAZIMA AKUBALI… TAFUTA HAPA

2; Maongezi yenu ya kiwa Mazuri usiogope kumwambia unachojiskia moyoni mwako. kunanjia nying za kuweza kumueleza kile unacho jiskia ila usiwambie moja kwa moja badalayake muundie sentensi kama hii “moyo wangu wa upendo umejaa mapenz ya dhati juu yako najiskia kukupenda nataman niwe na wewe daima katika maisha yangu” hii inamfanya afikilie kitugani unamaanisha ivyo mawazo yake yatakua tayari yameingiwa na ulichokisema hatakama atataka kumfaf kumfafanulia zaidi fanya kumwambia lakini mambo mengine utayoongea yawe ni yenye kumfanya afikilie.

3; Baada ya hapo utakua umetua mzingo kwake.Ila kitukikubwa katika kumutongoza mwanaume ni kujiamini na kuondoa woga babisa. Kama unasumbuliwa na woga katika kutongoza fanya kugusa hapa ili ujifunze njinsi ya kuondoa woga katika kutongoza.

MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MAPENZI WAKO

Wanaume na wanawake wote hujawa na furaha wanaposikia maneno mazuri kutoka kwa wapenzi wao. Maneno mazuri ya mapenzi huleta hisia ambazo husaidia kuimarisha uhusiano na kuongeza ukaribu kwa wapenzi. Hivyo, kumpatia maneno mazuri mwenza wako ni jambo la msingi na sio ujinga.

Katika makala hii tunaenda kukupa maneno Matamu ya kumwambia mpenzi wako. Hii ni kukurahisishia unapopata muda mzuri wa kumwambia mpenzi wako maneno Matamu au Mazuri.
Wakati mzuri wa kumwambia mpenzi wako maneno Matamu ya upendo ni wakati wowote unapojisikia kumsogeza karibu zaidi. Iwe ni asubuhi kabla ya kuanza siku, wakati wa mazungumzo ya kawaida, au hata nyakati za faragha mkiwa pamoja, maneno matamu hufanya kazi ya kuimarisha uhusiano wenu na kuongeza kiwango cha hisia za upendo. Hata ujumbe mfupi wa simu ukiwa na maneno haya unaweza kubadilisha siku ya mpenzi wako kuwa nzuri.

Mbali na kuimarisha mahusiano, wataalamu wa masuala ya mapenzi wanasema kwamba maneno matamu yanaweza kusaidia kupunguza migogoro midogo midogo kati ya wapendanao. Ni njia rahisi ya kusema โ€œnakuthaminiโ€ bila hata kulazimika kutumia nguvu nyingi. Kwa hiyo, usisite kuyatumia maneno haya kwa mpenzi wako na uone jinsi uhusiano wenu utakavyonoga na kushamiri zaidi.

Maneno Matamu Ya Kumwambia Mapenzi Wako(Mwanamke au Mwanaume)

1.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.


2.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha.

MANENO MATAMU YA KUMWAMWAMBIA MPENZI WAKO 2022>> GUSA HAPA KUJIUNGA


3.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi.


4.jinsi ulivyo wewe ndivyo nipendavyo.


5.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke.


6.Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende.


7.Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu


8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti.


9.Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.


10.Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.


11.kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife.


12.Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.


13.Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nininakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.


14.Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.


15.Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa.


16.Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.


17.Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.


18.Napata furaha nikiwa na wewe.


19. Napenda kutumia muda na wewe.

Gusa hapa kujiunga>>> MANENO YENYE HISIA KALI YA KUMWAMWAMBIA MPENZI WAKO


20.Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.


21.Natamani maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha.


22.Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo.


23.Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto.


24.Napenda nywele zako.


25.Napenda nikukumbatie

ninapokuaga.

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO


26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako.


27.Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu.


28. ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka.


29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha.


30.Nakupenda sana mpenzi zangu.


Ni hayo tu katika kurasa hii ilo jaa Maneno Matamu ya kumwambia mpenzi wako. Endelea kuwa karibu na The bestgalaxy kwa mambo mengine mazuri zaidi.

STORI MPYA ZA VICHEKESHO

๐Ÿ™Š๐Ÿ™ˆโœ๏ธ
JAMAA KATOKA CHURCH KAFIKA HOME KWAKE, AKAMKUMBATIA MKEWE NA KUMBEBA JUU JUU KWA HAMAKI… ๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด

MKE; KWANI VP LEO MUMEWANGU MAPENZI YAMEONGEZEKA MPK UNAYAFANYA HAYA MPK NASHANGAA.. !!!!๐Ÿ™„๐Ÿ™„

MUME: AKAMJIBU MKEWE KUWA CHURCH WAMEAMBIWA WAYANYANYUE MATATIZO Yao JUU MUNGU AYAONE… ๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿ™†๐Ÿผ/span>

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

Binti;;

Binti alipokea txt kwny cm yake “Hi,mremb una boyfriend?” BINTI:Ndio, ninae kwan we nan?? “Mimi ni baba yako naomb nkukute hapo nyumbn unielez vzuri” Baad ya mda kidog akapokea text nyingn “Hlw!,una boyfriend?” BINTI:Cna kabixaa! Bt u nan tena?? “Mi ni boyfriend wako nlitak kujua unavyojicfia kuw na mm, kwl nimegundua hunipend” BINTI:Oh,sorr bby nlijua baba ang mana ametok kuniulza swl iloilo! “Yes,ndio mm baba yako yan leo utantambua nkirud uko shenz ww!!!!”..


Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

MUELEVU NA MJINGA
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.*
*Basi Mwerevu akaingia na maswali yakawa hivi:-*
*Msaili:- Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?*
*Mwerevu:- ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mpaka 1961 kutokana na sababu mbalimbali..*
*Msaili:- Nani hasa alihusika na upatikanaji wa Uhuru huo?*
*Mwerevu:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J.K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia.*
*Msaili:- Inasemekana katika sayari ya Mars kuna viumbe wanaishi, je ni Kweli?*
*Mwerevu:- Watu wengi wanasema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi.*
*Baada ya Mwerevu kutoka basi Mjinga akapewa majibu yote..*
*Kuingia ktk usaili maswali yakawa hivi:-*
*Msaili:- Tuambie ulizaliwa mwaka gani?*
*Mjinga:- Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele mpaka mwaka 1961 kutokana na sababu mbali mbali.*
*Msaili:- Mungu Wangu, BABA yako anaitwa nani?*
*Mjinga:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J. K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia .*
*Msaili:- Hivi wewe ni chizi?*
*Mjinga:- watu wengi husema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi*๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

STORI YA KUSIKITISHA
majamaa watatu walikodi chumba katika hoteli moja hapa mjini, wakawa wamepata chumba cha mwisho kabixa ambacho kipo ghorofa ya hamsini (50), walipotoka walirudi wakakuta umeme umekatika, hvyo iliwabidi kupanda ngazi ili waeze kufika kwny chumba chao, hivyo walikubaliana wakwanza atapiga stori ya kuchekesha, wapili atapiga stori za kutisha na watatu atawapigia stori za kuhuzunisha, wa kwanza alpiga ctor za kuchekesa mpk walpo fika ghorofa ya 15, akafata yule wa pili akawapigia ctori za kutisha mpk walipofika ghorofa ya 30, akapokea yule watatu akawapigia story za kuhuzunisha. walipofika ghorofa ya 50 aliwageukia wenzake na kuwaambia na hii ndo yakuhuzunisha zaidi, TUMESAHAU KUCHUKUA UFUNGUO PALE MAPOKEZI…


STORI ZA VICHEKESHO ZINAZOWEZA KUKU VUNJA MBAVU


STESHENI YA TRENI

Jamaa wawili walifika stesheni wakakuta tren ndo kwanza inaondoka. Wakaanza kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…

Yule Aliye baki akaanza kucheka sanaa
Mpaka machozi yakamtuka. Watu wakamuuliza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu:
“Kinacho nichekesha , yule aliye panda alikuwa ananisindikiza.

GUSA HAPA>> KUPATA VITU VIZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO SASA


NDEGE ILIOPATA AJALI

Ndege ilipata hitilafu angani Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu.
Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, Msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka. Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.
Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi ntakufa na hii ndege.
Yule mwanafunzi akajibu “usijali yamebaki maparashuti mawili” yule mjeshi akashangaa akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI


NAMBA MPYA

Mke wangu alisajili line mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua.
Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke.
Nikajibu sina elfu 10 nikampa buku 4
Wakati tumelala, Mara Paa msg katika simu yangu

“HI MY LOVE”.

Kidume nikatoka nje nikaenda toilet, nikaijibu:
“we nani”

MSG: ni mimi Jane Msambwanda”.

Kusikia Msambwanda, mshipa wa ubongo ukanicheza.
MIMI: Jane Msambwanda wa wapi tena?”

MSG: Bwana baby nawe, si pale unapokulaga kila siku?”

MIMI: “ooh, kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi?

MSG: “nimepewa na rafiki yako DJ Tipwil, nakupenda sana handsome, sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez juu yako, yaani kila ukija kula, natamani usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nateseka sana mwenzio”

MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mimi nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona huo msambwanda nahisi mzunguko wa damu kubadilika, I love you too honey.

MSG: Basi mpenzi ,nikuombe kitu

MIMI: aah, sema tu

MSG: naomba elfu 50

MIMI: nakutumia sasa ivi”
(NIKATUMA)

MSG: Waaoo asante mume wangu, haya rudi ndani tulale, mi mkeo MAMA KIDUKU hapa..

๐Ÿ™†โ€โ™‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๐Ÿ™†โ€โ™‚

๐ŸŽผ_hapo ndo utaukumbuka wimbo wa dunia Lukumba lukumba๐ŸŽผ


KITOTO KIJINGA

WAGOGO watatu walisafiri, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda wakasemezana GALIMUZINZI, Yaani tamu, walipoondoka mmoja alitia kizibo(cha kisoda) mfukon badae walipotoka nje akamnong’oneza mwenzie MUYANGU NASOLA MBEYU! Yaani, mwenzio nimechukua mbegu nikapande.


HUU NDIO UBAYA WA KUWA NA MWALIMU MKUU ALIESOMEA SAYANSI

*MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu Mkwawa?
Mwanafunzi 1; Sio mimi
Mwanafunzi 2: Jana sikuja shule
Mwanafunzi 3:Mwalimu kwa kweli sie unatuonea….baada ya mwalimu kuona darasa zima ni vilaza akaamua kumtaarifu mwalimu mkuu, ambaye naye akaja kwa ukali
MWALIMU MKUU: Nani aliyemuua Chifu Mkwawa? Msipojibu humu ndani patawaka moto…darasa zima wakaanza kulia
Darasa:Mwalimu sio sisi
Mwalimu Mkuu akamgeukia mwalimu wake akamuuliza, “Mwalimu una uhakika huyo muuwaji yuko darasa hili?” ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


KITAMBULISHO CHANGU

NLKUA NATEMBEA NKAONA MWENDAWAZIMU AKIOKOTA NOTI YA KSH.1000 MBELE YANGU.
MIMI: samahani sana boss, hio uliookota hapo ni kitambulisho changu.
MWENDAWAZIMU: hatakama cjui kitambulisho lakini hiki si kitambulisho, OK Kama ni kitambulisho chako kweli nambie waitwa Nani? Na umezaliwa mwaka gani
MIMI: naitwa JAMHURI KUU YA KENYA na nimezaliwa mwaka wa 1000.
MWENDAWAZIMU: oh Pole boss kwa kukupotezea wakati shika kitambulisho chako, lakini mbona uko na vitambulisho vingi na unavibwagabwaga ovyoovyo? Nko na vyengine ishirini hapa acha nkupe mwenyewe.
MIMI: asante sana kwa kuniokotea izo ni photocopy na nimuhimu sana kwangu. Zilipotea tangu mwakajana zinanpatia shida sana.