Account za mitandao ya kijamii huwa zinawindwa na kudukuliwa na hackers. Katika Facebook muda mwingine unawezakua unatumia account iliodukuliwa na haujui kuwa imedukuliwa. Madhara ya kutumia account ya Facebook iliodukuliwa ni kwamba hacker anaweza itumia account yako ya Facebook kufanya uhalifu kwa watu Wengine na hao watu wakajua wewe ndiye umewafanyia hivyo. Kwaiyo ni muhimu kujua hali ya account yako ya Facebook ili kuepukana na mambo kama hayo.
WhatsApp yako inatatizo? Jifunze jinsi ya kutatua hapa>>>>
Kwenye audio nimezungunzia jinsi unavyoweza tambua kama account yako ya Facebook imedukuliwa/hakiwa na hackers. Kama imekufungua wewe basi usiache kuwa kuwajulisha na watu wako wengine wa karibu juu ya hili ili waweke account zao salama sisijetumika kukutapeli na vitu vingine kama hivyo. Unaweza gusa kitufe cha kijani hapo chini kuwasamazia watu ujumbe huu kwenye WhatsApp.
Kuangalia vifaa vilivyotumika kuingia kwenye Akaunti yako ya Facebook
- Ingia kwenye account yako ya Facebook na uguse vimistari vitatu(menu)
- Baada ya hapo chagua “Settings” ingia kwenye “Security and Login“
- Ukisha fanya hivyo utatupwa kwenye ukulasa ambao unakipengele kilichoandiwa “Where you Logged in“. Kwenye kipengele hiki unakutana na list ya vifaa ulivyotumia kuingilia kwenye account yako ya na taalifa nyingine kuhusiana uingiaji.

13 thoughts on “Ukiona dalili hizi Jua Account yako ya Facebook imedukuliwa na si salama (hacked)”