Wengi tumekua tukitumia WhatsApp katika kuwasiliana na ndugu na jamaa zetu kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Pia tumekua tukijiunga katika Magroup (Vikundi) ambavyo nia na madhumini yake ni kutujumuisha kwa pamoja ili tuweze kujadili au kubadilishana mambo mbalimbali. Kuwa na group si tatizo ila tatizo huja pale group linapokuwa na watu wengi wanaochati kipindi wewe hauna muda wa kuchati kutokana na sababu mbalimbali na kukupelekea kuona sms za wengine kuwa kero kwakua huingia kwa kelele mfululizo. Kama unagroup ambalo husababisha kelele kutokana na message zake, unaweza lifanya yafuatayo ili kulifanya liingize message kimya kimya;
Nenda katika ukarasa wako wa WhatsApp kisha lishikilie group lenye kelele kwa muda usiopungua sekunde tatu Kama inavyooneshwa hapo chini.
Ukishikilia kwa muda wa sekunde tatu group litajipiga tiki na maeneo ya juu ya WhatsApp kutatokea chaguzi: katika chaguzi hizo utaona alama ya spika iliokatwa. Alama hii inamaanisha kulikarisha kimya group hivyo utaigusa alama hiyo kama picha inavyokuonesha hapa chini.
Baada ya kuigusa alama hiyo utaletewa chaguzi uchague group hilo liwekimya kwa muda gani kwaiyo utachagua masaa8, wiki 1 au milele kisha utagusa neno “Ok” kama inavyooneshwa katika picha.
Baada ya kufanya hayo utakua umetatua tatizo la kelele maana sms za group hilo zitakua zinaingia kimya kimya. Na unachotakiwa kujua ni kwamba kama utachagua masaa8 basi baada ya masaa8 group litakua linaingiza sms kwa kelele kama kawaida na hata ukichagua wiki, wiki likiisha kelele zitakua palepale ila ukichagua milele hutaskia kelele za group hilo mpaka utakapo lishikilia tena group hilo na kugusa kialama cha sipika isiokatwa ili kuliweka huru. Kama ni mtu ambae unamagroup mengi au unamagroup ya ajabu ajabu unaweza tumia njia hii kuepuka kelele na kulifanya group lisije kuleta taalifa za sms za ajabu ajabu.
Kama ni mpenzi wa muda wa kuangalia mpira wa miguu wa nje ya nchi, nadhani umeshawahi kosa kuangalia mechi ulioipania kwasababu mbalimbali ikiwemo kuwa mbali na Tv. Teknolojia inazidi kukua kila siku na kuturahisishia mambo. Sasa unaweza angalia mechi Kali za mpira wa miguu kupitia simu yako mubashara(Live) ukiwa popote. hapa tutakujuza jinsi ya kuangalia mpira wa nje karibu mechi zote kwenye simu yako BURE.
Ikiwa unahitaji kuangalia mpira live kwenye simu yako, utahitajika kuwa na app maalumu kwaajili ya kuangalizia mpira. App hizi zipo nyingi sana katika playstore(Android) lakini mimi nakushauri uchukue app nyepesi na isiokula sana Mbs iitwayo Live Football Tv.
App ya Live Football Tv ni app ya kuangalia mpira live kwenye simu yako. Mpaka Sasa inatumiwa na zaidi ya watu Milioni ulimwenguni na wanaisifu kwa kuonesha mipira mingi bila matatizo. Mbali na kukuonesha mechi live(mubashara), huwa inakupa matokeo na video za matukio muhimu ya mechi zilizomalizika kwaiyo Kama haukua na bando la kutosha kuangalia mpira mzima, unaweza angalia video ya goli lilivyofungwa tu. Pia inakupa nafasi ya kuangalia vipindi vingine vya kimichezo bure toka Ptv sports.
App hii ya kuangalia mpira live haipatikani Playstore kwasasa ila unaweza kitafuta Google na kuipakua. Pia Unaweza ipakua kirahisi kwa kugusa hapa>>> INSTALL. Na baada ya kuipakua, hauitajiki kujisajili au kufanya Jambo lolote la kujiunga ili kuitumia. Ni kuifungua na kuinjoi…
Fahamu kuwa: App nyingi zinazowezesha kuangalia mpira bure huendelewa Playstore kutokana na Kuvunja sheria za Playstore. Ikiwa app nilioitaja nayo itaondelewa basi unaweza ipakua app nyingine nje ya Playstore Kwa kugusa HAPA>>>
Je, ni Mbs ngapi zinahitajika kuangalia mpira mzima(Dk90) kwenye simu?
Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza, wanapohitaji kuanza kuangalia mpira kupitia simu. Ukweli ni kwamba, kadri video inavyokua na muonekao mzuri ndivyo Mbs huwa zinalika nyingi. Itakua ni vizuri zaidi Kama hautakua na chini ya Mb900 ili kutokua na wasiwasi wa bando kuisha.
Kama unavyojua kuwa Kwa sasa vifurushi vya internet vimepanda sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Lakini habari njema ni kwamba, unaweza kutumia internet BURE kabisa bila hata Bando. Hii ni kweli japo baadhi ya watu huwa hawaani kitu hiki… Lakini ukweli nikwamba kutumia internet BURE inawezekana.
Kunanjia nyingi sana ambazo mtu unaweza zitumia kupata internet BURE kwenye simu yako. Leo nataka kushea na wewe njia ambayo nimeitumia kupata internet BURE kabisa na inafanya kazi 100% kama unatumia laini ya Tigo… Lakini hii ni for education purpose… Hebu angalia picha hii inayokuja onesha nikiangalia YouTube bure bila bado..
Sasa kama unahitaji app ni BURE kabisa. Unachotakiwa takiwa kufanya ni kuipakua(Download) kwenye simu yako Kisha install kwenye simu. Baada ya hapo utatakiwa kuifungua ukiwa na bando la internet alafu itaingiza data zake Kwa muda wa sekunde chache tu. Ikisha Ingiza data zake utatakiwa kuweka laini ya Tigo ambayo Haina Bando. Ukishafanya hivyo ifungue tena iyo app na uguse kitufe kichoandikwa “Connect”. Baada ya kuconnect utaanza kutumia internet bila bando. Jaribu kwenda YouTube au Google kucheki kama Iko sawa.
Je, wewe ni mpenzi wa movies? Kama wewe ni mpenzi wa movies, basi tambua leo umepata bahati ya kujua na kupata kitu kizuri kuhusiana na movies.
Ukweli ni kwamba, ni ngumu sana kwa wapenda movies hapa nchini kupata, Download na Kuangalia movies mpya au zilizotoka karibuni bure. Katika baadhi ya nchi zilizoendelea huwa kunakua na tuvuti za movies zinazoruhusu baadhi ya movie kuangaliwa bure. Tuvuti hizi huwa na matangazo ambayo huwezesha huduma kuwa bure.
Kutokana na sababu mbalimbali, tuvuti hizi huwa hazioneshi baadhi ya movies nzuri au mpya kwa watu walio nje ya nchi zilizoendelea. Mfano; Ukiwa nchi nyingi za Afrika, hauwezi ona baadhi ya movies nzuri kutoka kwenye tuvuti ya TubiTv inayotoa huduma za movies bure.
Kiufupi usipokua tayari kulipia, unaweza chelewa sana kupata movies mpya au nzuri. Kuna baadhi ya watu huwa wanafanikiwa kupata movies baada miezi miwili au mitatu kabisa toka zitoke.
Lakini kitu kizuri ni kwamba kuna Android app ambayo inakuwezesha kudownload na kuangalia movies nyingi Duniani, hataitoke sasa ivi. Kupitia hii app unaweza Kuangalia movies zote (zazamani na mpya). Inakuwezesha kudownload na Kuangalia mamilioni ya movies kiasi kwamba hata uwe unaangalia kila siku movie Moja Kwa miaka 4, hauwezi maliza. Hebu angalia baadhi ya picha za app hii hapa chini…
App kama hii kikawaida hulipiwa zaidi ya elfu 20,000 Kwa mwezi Lakini katika internet bure. Kwa maelezo yaliopo kuhusu app hii ni kwamba haijihusishi na kunza movies ili uziangalie bali inakuunganisha na movies ambazo watu kama wewe wameziweka mtandaoni. Kwaiyo kiufupi, ni app ambayo inakukusanyia movies ambazo zimewekwa na watu mtandaoni na unaweza ziangalia bure.
Ukihitaji kuijaribu app hii kwenye kwenye simu yako, utatakiwa kuipakua kwenye simu alafu utaiingiza(install) na kuifungua. Kupakua app hii, bonyeza kitufe kilichopo hapa chini.
Lakini kabla hauja jaribu, fahamu kuwa app hii haipatikani Playstore na app nyingi zisizopatika Playstore huwa ni hatari kwa taalifa zako zilizopo kwenye simu. App hii inaweza zuiwa na Google Play Protect kutokana na kuwa na tabia za App hatari.
Sisi kama The bestgalaxy hatukushauri moja kuiamini ila unaweza jaribu kuitumia kama baadhi ya watu wanavyoitumia.
Ili kujua mambo mengi kuhusu simu yako na teknolojia Kwa ujumla, usiache fuatilia website hii…
Unaambiwa, zaidi ya watu milioni 100 duniani wanatumia simu zao kupata mkopo kwa haraka. Na Kwa hapa Tanzania kuna watu wengi sana ambao tayari wanatumia simu zao kupata mikopo inayowazaidia kuwasukuma katika mambo mbali mbali kimaisha. Kutumia simu kupata mkopo ni moja ya matumizi chanya ya simu hizi za Smartphone. Ni matumizi chanya kwasababu mkopo ambao watu hupata kupita simu zao, unawasaidia katika maisha halisi. Maana wanaweza kupata mkopo ili kurekebisha mambo yanapoenda vibaya katika biashara and maisha Kwa ujumla.
Kwa mfano; Kuna dada flani mzuri sana sitomtaja jina. alikua anasafiri alipanda gari alafu alipokua ndani ya gari na wakati gari limeanza safari akagundua sehemu alioweka pesa zake ikiwemo nauli ipowazi na hakuna pesa… Basi moja Kwa moja akajua ameibiwa pesa na hana pesa yoyote. Dada yele alikua mpole kama amemwagiwa maji ya baridi kwenye gari hilo huku akiwaza ni jinsi gani konda atamuelewa, ukizingatia maneno ya makonda wengi huwa ni mabaya kwenye maswala ya hela. Lakini Kwa bahati nzuri alikumbuka kuwa kwenye simu yake huwa anatumia huduma flani inayo mruhusu kukopa hadi 100,000 ndani ya dakika 5 tano tu. Alikua hadaiwi kwenye hiyo huduma na alikua ni Moja ya watu wanalipa mikopo Kwa wakati ndio maana alipewa uwezo wa kukopa kiasi kikubwa kidogo.
Basi bila kupoteza muda yule dada akatumia huduma hiyo kukopa kiasi cha pesa Cha kutosha nauli na mambo mengine. Pesa aliokopa ilitumwa kwenye laini yake ya simu (Tsh 70,000). Alipoingia tu kwenye simu akapatanguvu, akamuita konda na kumwambia “Samahani kaka, nimedondosha pesa ya nauli lakini ninapesa kwenye simu naomba uniruhusu nikutumie nauli kwenye simu yako au nikifika stendi tukatoe Kwa wakala…”. Konda akampa pole yele dada kisha akamwambia atume tu kwenye simu ila utume na yakutotea. Basi yele dada alipona kiivyo.
Sasa huo ni kama mfano mzuri unaoonesha umuhimu wa watu kujua na kua na huduma za kukopa kwenye simu. Ikiwa wewe ni moja wa watu wanaohitaji kuwa na huduma za kukopa kwenye simu basi hapa tunakujuza juu ya njia moja ya haraka na halali ya kupata mkopo kwenye simu Tanzania. Soma maelezo yafuatayo hadi mwisho ili kuelewa zaidi njia hii.
Jinsi ya kupata mkopo kwa njia ya simu tanzania.
Kama unahitaji kupata huduma ya mkopo kwa njia ya simu, basi tumia app iitwayo Branch. App ya branch ni moja ya app halali ambayo ukiwanayo kwenye simu yako inakupa uwezo wa kukopa Tsh 5,000 na kuandelea ndani ya dakika chache tu. Tena mkopo unatumwa kwenye laini yako hapo hapo na utakuja kulipa kwa gharama nafuu. App ya Branch unaweza kuipata na kuiingiza kwenye simu yako kirahisi kwa kugusa HAPA. Lakini kabla haujaiingiza kwenye simu yako ningepeda ufahamu mambo ya fuatayo;
Ukishaiingiza app hii kwenye simu yako, jisajili na ujaze taalifa zako za ukweli kabisa alafu ndio uombe mkopo. Na kwa mara ya kwanza unavyokopa, kopa kiasi kidogo tu (Tsh 5000) na urudishe kwa wakati. Kurudisha kwa wakati kutafanya wakuamini na upadate uwezo wa kukopa kiasi kikubwa kirahisi mbeleni. Unapokopa Kwa mara ya kwanza wanaweza wakachelewa kidogo kukupa. Ila mkopo utakao omba baadaya kurudisha mkopo wa kwanza unaweza upata hata ndani ya dakika moja. Maana wanakua wanajua wewe ni mwaminifu.
Zawadi ya Tsh 5750 BURE Utayopewa na Branch (USISAHAU HII)
App ya Branch pia huwa wanatoa Zawadi ya Tsh ,5750 BURE unaporudisha mkopo wa kwanza. Lakini ni lazima uwe umeandika namba za mualiko. Hii ni kwaajili ya uaminifu wako maana wanaotangulia kukupa pesa ni mwenye.
Kama unahitaji kupata zawadi hiyo basi ingize app kwenye simu yako Kisha jisajili. Ukijisajili Gusa sehemu ilioandikwa “Alika” alafu chagua “Ingiza Nambari ya promosheni” kama unavyoona hapa chini.
Baada ya hapo, unaletewa kibox, jaza nano hili “””elia04c93“”” katika kibox kama inavyo onekana katika picha ya hapa chini. Usisahau kunandika namba hiyo ya mualiko ili upate zawadi.
Ukishajaza tu na kugusa kitufe cha blue, siku yoyoye utakayoomba mkopo alfu ukarejesha, utapata Tsh 5750 BURE.
Kama utakua na tatizo, njoo uulize maswali WhatsApp kwa kugusa HAPA>>>
App hii itakusaidia kuomba mkopo kwa Simu Tanzania. Na ukiwa mwaminifu basi unaweza kuitumia kupata mikopo ya haraka kupitia simu yako Kila unapohitaji. Utakuaunaomba mkopo online kirahisi sana.
Asilimia kubwa ya watanzania au watu wanaongea lugha ya kiswahili hupenda filamu zilizotafsiliwa kiswahili. Filamu zilizotafsiliwa kiswahili au ‘movies za kutafsiriwa’ ni filamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia ambazo hua katika lugha isio ya kiswahili lakini huingizwa maneno ya kiswahili na watafsiri. Movies za kutafsiriwa zimekua zikipendwa sana na watu tangu zilipoanza kuzalishwa na moja ya sababu kubwa za kupendwa ni humfanya mtu aweze kuelewa Movies za kihindi, Movies za kichina, Movies za kikolea na nyingizo, kirahisi sana.
Katika makala hii, nitaelekeza jinsi ya kupakua au kudownload ‘movies za kutafsiriwa’ kwenye simu (Android). Kama ni mmoja ya watu wanaopenda ‘Movies za kutafsiriwa’ basi hapa unakwenda kujua njia rahisi ya kuzidownload na kuziangalia kwenye kwenye kiganja chako.
Jinsi ya kudownload movie zilizotafsiliwa kiswahili kwenye simu
Ili kudownload au kuangalia Movies za kutafsiriwa kwenye simu yako, fanya yafuatayo.
Kwanza kabisa unatakiwa pakua app iitwayo “”Movies za kutafsiriwa“” na kuiweka kwenye simu.
Ukishaipakua app hiyo, utatakiwa kuifungua alafu ndani yake utakuta Movies nyingi sana zilizotafsiliwa kwa kiswahili na watafsiri mbalimbali.
Chagua Movies au filamu unayotaka kudownload au kuingalia katika app hiyo kisha uanze uaingalia au kuidownload.
Je app ya “Movies za kutafsiriwa” humaliza bando?
Hapana, app huwa haimalizi bando la mtumiaji maana haina ‘Auto play’ au ‘Auto download’ kama app nyingine. Yaani kwa ufupi ni kwamba app haitumii bando sana.
Hii ni sehemu ambayo wewe huadika namba na kuipiga (kwa wenye simu za batani wanaweza kuanza moja kwa moja na hatua ya pili ya bonyeza namba)
2. Bonyeza namba *#61#
Hakikisha mara mbili mbali hizi namba (*#61#) ili kuepuka kukosea na kukupelekea wewe upate majibu yasio sahihi.
3. Piga kisha subiri kwa muda.
Baada ya kuziandika vizuri kabisa hizo namba zipige na usubiri kwa muda kisha utapewa wajibu.
4. Angalia majibu.
Kama majibu yatakayokuja yatakua ni “No forwarded” basi jua simu yako haijaunganishwa na mtu yoyote nanaekuchunguza. kama majibu yatakayokuja yatakua ni “Forwarded” basi jua kuwa simu yako imeunganishwa na mtu naeweza pata taalifa zako (baadhi anajua watu wanaowailiana na wewe).
Na kama umekuta unachunguzwa piga ##21# kujiondoa.