UTAMU WA JUMLA 10 (Simulizi ya Maandishi)

Uvumilivu ukanishinda, nikaona amelala ameniachia mgongo nikatoa mkono wangu wa kushoto nje ya shuka langu taratibu nikawa kama nampapasa sehemu zake za juu kidogo ya magoti hivi. nikakuta kaganda tu na anakautulivu flani kama anakitaka ninachokiwaza. Mimi nikaendelea kumpapasa taratibu huku nalitoa shuka lake kidogo kidogo.

Wakati nafanya hivyo nikakuta ghafla ananigeukia na tukaangaliana uso kwa uso. Kumbe na yeye alikua anataka. Baada ya kunigeukia tukajikuta tu tumeanza kamatana ulimi na mikono yetu imeyatupa mashuka pembeni nakuanza kuvutana. Tulizianzisha vurugu pale kitandani mimi na Salma kiasikwamba Salma alikua anashindwa kupumua vizuri. Nilipitisha mkono wangu sehemu zote nilizokua natamani kuzishika kwenye gari yangu mpya hiyo. Ngozi ya viti ilikua laini na nikiwanaishika nahisi kuchanganyikiwa zaidi kwenye vurugu hizo. Alikua anaumbo zuri sana na nilipomkamatia panapotakiwa kuna muda nikawa naona kabisa kwa raha ninayoipata siwezi kumuacha nimwage maji nje. Pamoja na kwamba alikua anafanya kazi ya kuuza mwili wake lakini alikua hajachoka bado. Kama kuna mtu alikua dirishani muda huo basi angekua anasikia sauti za Salma akilia “Ohooh…. uwii… aaa.. aiissssssiiii… Oooohhh.. anha ooisshii” na kutaja jina langu kutokana na makofi ya mkono wa tatu niliokua nikimpa “Pah pah pah pah” katika mikunjo mbali mbali ya vurugu.

Nilitamani nimwage maji nje lakini nilishindwa kabisa, nilijikuta namaliza mchezo kwa kuguna na kutaja jina lake tu “Mhh mhh Sa… salma… Mhh” huku nikiendelea kumchapa makofi ya nguvu “Pah pah pah” kwa kasi ya ajabu na kuifanya mizigo yake iwe inacheza kama maji yanayotikisika kwenye rambo. Baada ya kumaliza mchezo tukaanza kuongea mambo ya mahusiano tena kama kawaida. Nilimwambia nampenda sana nae aliniambia ananipenda pia hatamani niondoke maishani mwake wala nimtoe maishani mwangu. Nilimuahidi kuwa haitatokea ila asirudie ile tabia yake mbaya hata iweje na yeye akasema haitakuja kutokea.

Asubui ilifika nikajiandaa kwenda kwenye mafunzo ila kabla sijaenda nikamuachia kiasi kidogo cha pesa ili anunue chakula ale alafu nikawapigia wazazi ili watume ile hela. Wakaniambia “Subiri kidogo tunatuma” lakini nikaona wanachelewa, nikaweka simu mfukoni nikaanza safari ya kwenda kwenye mafunzo. Siku hiyo ilikua ni jumamosi ila huwa tunaenda kwenye mafunzo. Nilipokua njiani nilikua na mawazo kidogo na nilikua nawaza “Duh inamaana mimi ndio nimeisha oa ivi au?… Kuishi na mwanamke ambae unamahusiano nae ya kimapenzi ni sawa na kuoa tu japo sio rasmi. Ivi nitaweza kuishi nae kweli? Alafu mwanamke ananguvu huyu maana nilisema sitakuja kupenda sana kama hivi lakini nimejikuta nampenda zaidi ya sana, nilikuwa nafikilia kuwa nikipata kazi nitakua na wanawake wengi lakini yeye saivi ni mmoja ila nikikosana nae tu hata mafunzo yatakayo nifanya niipate hiyo kazi nayaona hayana maana. Na sijui nitafanyaje nikikuta kaondoka na vitu vyote mule ndani maana kuna wanawake huwa wanafanya hivi ujue?… Ah wakati namkaribisha Salma sikuwaza kuwa litakua jambo kubwa hivi ila kwakua nampenda, acha tu nione itakuaje ila akiwa ni mwanamke alietulia kweli, simuachi maana nampenda. Alafu si nikimaliza mafunzo nitapata kazi? Ah kumbe haina haja ya kuwaza sana kuhusu maisha maana maisha yetu mimi na Salma nitayaendesha vizuri tu”.

Baada ya mawazo hayo nikaanza tena kuwaza “Ila mimi kuoa naona kama nimewahi hivi… Huyu salma japo nampenda ila baada ya kupata kazi tu nitamuacha. Kwanza nahisi nitakua nimeisha mchoka maana mapenzi kuna muda huwa yanaisha. Yeye mwenyewe sidhani kama atakua na hamu namimi… Kwamba katika wanaume wote, mimi tu ndio nimeuteka moyo wake kwa uzuri ule? Mh sijui… Au nitaangalia cha kufanya mbele kwa mbele”. Nikaendelea na safari mpaka nikafika sehemu ya mafunzo. Lakini sehemu hiyo nilikuta imefungwa na kunawatu wengi tu wapo nje wamezagaa na wengi wao wameshika vichwa wanalia. Nikasogea kwa watu na kuwauliza kinachoendelea hapo nikakuta wanasema kumbe hayo mambo yaliokua yanaendelea hapo muda wote ni utapeli. Eh nilishtuka nikawa nataka waniambie vizuri kivipi lakini nao wanasema hawaelewi ila tu kinachoendelea hapo ni kwamba watu waliokua wakiendesha jambo hilo kwa sasa wameisha kimbia mji na hela za watu wote walio lipia na hata kampuni lao halitambuliki kiselikari.

Mh kiukweli nilichanganyikiwa kweli kusikia hivyo. Nakumbuka tulikaa pale kwenye eneo la tukio tukiwa hatuelewi kinachoendelea na nilikua na mawazo sana muda huo. Kichwani nilikua nawaza “Inamaana nimepoteza muda kusubilia kitu ambacho hakipo? Mkosi gani huu? Nitawaambia nini wazazi wangu kuhusu jambo hili? Nitaishije na Salma bila kuwa na ajira? Maisha yangu yatakuaje?” nilikua sipati jibu kabisa na kulikua hakuna dalili nzuri mbele yangu. Niliamua kuanza safari ya kurudi kwenye chumba nilichopanga na wakati niponjiani mawazo hayakunipa muda wa kukiacha kichwa kipumzike, nikaanza kuwaza “Hii ni ndoto au?… Au huyu Salma amenipa mkosi? Dah Mbona sielewi”. Mara grafla ukaingia ujumbe kwenye simu yangu na nilipouangalia nikakuta umetoka kwa baba. Moyo ulidunda kwa hofu nikizani huenda baba amepata taarifa tayari ya kinachoendelea huku. Ila nilipoufungua na kusoma ujumbe huo nikakuta kumbe baba anataka nimtumie namba za akaunti ambayo nitapokelea hela tu. Mh mimi niliposoma ujumbe huo nikapumua kidogo na baada ya hapo nikaanza kuwaza “Ivi sasa hizi hela nazipeleka wapi?….Au nimwambie asitume alafu nimwambie kilichotokea?… Hapana, kwasasa siwezi hata kumwambia, ngoja nimtumie namba yangu ya benki ili atume hela humo”. Basi nikafanya hivyo na kabla sijafika nyumbani hela ziliingia alafu nikamshukuru. Ila mawazo hayakuisha kichwani na kiukweli dunia nilikua naiona mbaya sana muda huo…

INAENDELEA….

One thought on “UTAMU WA JUMLA 10 (Simulizi ya Maandishi)”

Leave a comment