UTAMU WA JUMLA 09 (Simulizi ya Maandishi)





Samahani kama unanipenda kweli, najua utakua umeumia kujua mambo yangu ila naomba utambue kuwa na mimi nakupenda sana lakini maisha yangu mimi siyaelewi. Natamani kutoka kwenye maisha haya na kuwa na mwanaume mmoja maishani atakae nielewa lakini kila nikijaribu, vitu vinaingilia kati, nadondoka tena kwenye kazi ya kujiuza. Nikifanikiwa kutoka kwenye maisha haya mabaya, sitatamani kurudi tena. Natamani kuitwa mke, natamani kuheshimiwa kama watu wengine na natamani nifute vitu vyote vibaya nilivyowahi fanya lakini nashindwa.” 

Basi mimi baada ya kusikia hivyo nikajikuta naanza tu kumuonea huluma Salma. Machozi yalikua yakimtililika na mimi kumuona dada mzuri kama yule akilia mbele yangu bila kuchukua hatua ilikua ningumu sana. Nilimfuata pale alipokua akilia, nikamkumbatia nikamwambia “Nyamaza basi… Salma nyamaza basi… Nimekuelewa salma nyamaza basi nikwambie kitu”. Nikamkalisha kitandani kwangu tukatulia kama dakika 10 hivi kumuweka sawa maana alikua anadondosha machozi. Baada ya kunyamaza nikamwambia “Ivi kwamfano nikikupa hiyo hela utaenda kuifanyia nini? alafu nimeona wameondoka mpaka na kitanda, unasehemu hata ya kulala leo wewe?” akatulia kidogo alafu akakataa kwa kutikisa kichwa.


Nikamwambia “Kwaiyo hata nikikupa tu hiyo hela bado utaendelea kujiuza?” Salma akawa anajiminyaminya tu vidole vya mikono huku anaangalia chini.  Nikakaa kama dakika moja hivi nikifikilia jinsi ya kumsaidia alafu bila kufikilia mbali nikamwambia “Fanya hivi… nenda kachukue vitu vyako vilivyobaki kule ulete humu tukae”. Akashtuka kidogo alafu akawa ananiangalia usoni kama haamini nilichokisema. Mimi nikamwambia “Mimi nikotayari tukae wote humu… Au unampango mwingine unaokufaa mbali na huo?” Akauliza “Yani inamaana mimi na wewe tuwe tunakaa humu?” nikamwambia “Ndio kwani wewe unaonaje?” Nikakuta ananikumbatia alafu alivyonikumbatia machozi yake yalikua yananidondokea shingoni huku nikimsikia akinishukuru. Ila nilimwambia kuwa hatutaishi humo kama wapenzi, tuwe ni kama marafiki tu mpaka atakapoelewa maisha yake na asirudi kwenye ile kazi yake ya kujiuza.


Basi baada ya dakika chache alihamishia vitu kwangu ili tuanze kuishi mule na alikua hana vitu vingi. Alikua na nguo za kuvaa chache, vitu vichache vinavyohusika na chakula, shuka pamoja na vitu vya urembo. Jioni ilifika na ilitukuta tukiwa pamoja na salma. Nikanunua chakula tukala na baada ya kula nikakumbuka kuwapigia simu wazazi kuhusu hela inayohitajika kwenye mafunzo ili kupata kazi. Niliwapigia nikawaelekeza wakawa wagumu kunielewa lakini mwishoni wakakubali wakaniambia “Sawa ila kutuma hiyo hela sasaivi haitawezekana, utatumiwa kesho asubui ila hakikisha unafanya vizuri huko maana tunatupa hizi hela kwaajili ya maisha yako”. Mimi nikawambia “Sawa” nikawaelekeza na jinsi ya kutuma pesa ili inifikie mimi alafu ndipo nikalipie. Baada ya hapo tukaendelea kupiga stori na Salma mule kwenye chumba changu. Tulikua tumekula na tumeshiba hivyo stori zilikua nyingi sana humu ndani. Ila stori tulizokua tunapiga zilikua haihusiani na mapenzi kabisa maana tulikubaliana hatutakua wapenzi humo ndani.


Nakumbuka ulifika muda wa kulala na kwakua kitanda kilikua kimoja nilimwambia alale kwenye kitanda mimi nilale chini. Akakubali kulala kitandani na mimi nikalala chini lakini nilivyokua nalala tu nikakuta mvua nje imeanza. Kibaridi kilianza kunipiga pale chini nikawa najigeuza geuza nipate hata afazari maana hata usingizi ulikua unagoma kuja. Mara ghafla nikakuta Salma kaitajina langu kwa sauti ya chini kiasi. Basi na mimi kwakua nilikua macho, nikaitikia “Naam” akasema “Kunabaridi leo… hujiskiii baridi hapo chini?” nikawa nataka kukataa kuwa sijiskii baridi ila nikaona bora nikubari tu “Dah kunabaridi kweli” akaniambia “Njoo tu tulale wote tu hapa maana ukilala hapo mpaka kukuche utaumwa”. Basi mimi nikafikilia nikaona ni kweli nitaumwa maana hata usingizi uligoma pale. Nikapanda kitandani na shuka langu nikalala yeye akiwa upande wangu wa kushoto.

Tulivyolala kitandani wote bado usingizi ulikua hauji. Nilianza kujisogeza kwake kidogo maana ndiko kulikua kuna joto la kuvutia. Kila mtu alikua na shuka lake lakini mimi nilikua najikuta tu navutiwa kujibana kwake maana kulikua na joto kidogo. Na yeye pia nilianza kumuona kama ana sogea kwangu hivi. Mawazo yakaanza kunihama nikajikuta natamani nianze kumshika yule dada. Nilikua naogopa kumuanza maana mimi ndie nilikua nikisisitiza kuwa humo ndani tuishi bila kuwa wapenzi. Hapo kitandani mkono watatu ulikua umeisha amka na najigeuza mara kwa mara maana hali yangu ilikua mbaya. Uvumilivu ukanishinda, nikaona amelala ameniachia mgongo nikatoa mkono wangu wa kushoto nje ya shuka langu taratibu nikawa kama nampapasa sehemu zake za juu kidogo ya magoti hivi. nikakuta kaganda tu na anakautulivu flani kama anakitaka ninachokiwaza. Mimi nikaendelea kumpapasa taratibu huku nalitoa shuka lake kidogo kidogo.




INAENDELEA….

One thought on “UTAMU WA JUMLA 09 (Simulizi ya Maandishi)”

Leave a comment