Mukiwa katika mahusiano ya mapenzi mnaweza kuwa mnatumia muda mwingi kuongea au kuwasiliana kipindi cha usiku. Hii inaweza kuwa ni mmepigiana simu, mnatumiana sms(kuchati) au mupo sehemu moja mnaongea. Hapa chini kuna kuna orodha ya maneno ya kumwambia Mpenzi wako usiku pindi unapoishiwa maneno ya kuongea. Maneno haya yanaweza saidia kuanzisha mada nyingine usiku huo na kumfanya mpenzi wako afurahi au ajisikie vizuri kuwa na wewe usiku huo. Endelea kuwa karibu na The Bestgalaxy.
Jinsi ya kujua mtu mwingine anaona sms na unavyofanya WhatsApp kisiri SOMA HAPA>>>
Maneno ya kumwambia Mpenzi wako usiku (Mwanaume au Mwanamke)
Bebi ivi umeliona giza la usiku wa leo huko nje? Maisha yangu yanaweza kuwa zaidi ya hivyo bila wewe… sitamani utoke maishani mwanagu, nakupenda sana.
Yani natamani tungelala wote leo, natamani kuona macho yako mazuri ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku huku nikiwa nimekukumbatia dear.
Ukiniambia nitaje vitu ninavyopenda toka kwako naweza anza kuvitaja usiku huu mapaka asubui na nisimalize.
Huku niliko ni baridi sana natamani nipate kumbato lako muda huu.
Ukihesabu nyota zote angani alafu idadi ya hizo nyota uizidishe mara milioni 100 ndio idadi ya sababu za moyo wangu kukupenda wewe.
Leo ukitaka kulala niambie mimi ntaendelea kuwa macho kukulinda mpenzi wangu.
Mazoezi ya mwili ambayo husaidia katika Mapenzi SOMA HAPA>>
Hapa sina usingzi, natamani nije nikukiss ndipo nilale.
Unaupa furaha moyo wangu usiku huu mpaka nashindwa kuelezea huraha hii.
Anaesoma ujumbe huu ni mtu ninaempenda sana na moyo wangu hudunda kwa furaha “Pah!” kila nikiona simu au sms toka kwake.
Sisi ni binadamu, Kuna muda huwa tunapatia na kuna muda tunakosea… Moja ya vitu vikubwa ambavyo nimepatia hapa duniani ni kukupenda wewe mpenzi.

Mtu anaesoma ujumbe huu ni mtu pekee ninaempenda katika maisha yangu. kunamuda nawaza nimwambie neno gani zaidi ya “Nakupenda” ili ajue nampenda sanaaa ila nakosa jibu, unaweza nisaidia kumwambia?
Nikiamka nikakuta hii ni ndoto nitafanya chochote ili nilale tena maana ninafuraha sana kuwa na wewe muda huu. Nahisi nipo ulimwengu mwingine.
Jinsi ya kuwa romantic kwa mpenzi wako BONYEZA HAPA>>>
Penzi lako kama pumzi, nalitaka kila muda… Ni zaidi ya Utamu wa asali au tunda.
Katika ulimwengu wa mapenzi ni bahati sana kupata mpenzi anaejua mapenzi siku hizi… Mimi bahati hii niliipata pale lipokupata wewe mpenzi wangu.
Najivunia kuwa na wewe usiku huu.
