Watu wengi huwa wanapenda kucheza magemu ya ndege kwenye simu zao kwakua huwafurahisha. Ni wazi kuwa magemu ya ndege huwa ni mazuri na ya kuvutia ndio maana hufurahisha lakini si magemu yote huwa ni mazuri, mengine hukera kutoka na sababu mbalimbali kama vile muonekano mbaya na sauti za ndege zisizo na uhalisia.
Katika post hii nakupa gemu 2 za ndege ambazo ni nzuri,ndogo na watu wengi hupendelea kuzicheza katika simu zao za Android ulimwenguni.
Kabla ya kuendelea ningependa kukujuza kuwa magemu haya mara nyingi huchezwa kwa kuyumbisha simu yako.
Simu ikiingia maji unatakiwa kufanya nini? GUSA HAPA>>>
Zifuatazo ni gemu 2 za ndege ambazo ziko vizuri na pia hupendwa na watu.
1. Wings Of Still

Wings Of Still ni gemu la mapigano ya ndege ambalo mpaka Sasa limechezwa na watu zaidi ya milioni 10 na wamelipenda. Gemu hili linamuonekano mzuri na mazingira yenye uhalisia. Linakupa nafasi ya kuchagua aina ya ndege uitakayo kutokana na Score ulizojizolea.
Kama utahitaji gemu hili utalipata kirahisi sana kupitia playstore na ni kwa Mb chache. Unaweza rahisisha upatikanaji wa gemu hili kwa kugusa INSTALL
2. Modern Warplanes

Ni moja kati ya magame mzuri sana ya ndege yanayo pendwa zaidi na watu. Linahusisha mapigano ya ndege angani na linakupa uhuru wa kuchagua ndege ipi ya kivita unayohitaji kuwanayo kwenye vita hivyo. Watu hulisifu sana muonekano wake kwa ufupi modern warplanes ni gemu zuri sana.
Mbali na gemu hili kuwa na muonekano mzuri, pia hupatikana kirahisi sana kwa Mb chache. Linapatikana playstore bure na unawezalipata kirahisi kwa kugusa INSTALL
Download na kuangalia movie zote bure kwenye simu GUSA HAPA>>>