Jinsi ya kutengeneza Avatar kwenye Facebook (Katuni)

Pengine tayari uweishaona baadhi ya watu wakiwa wanatumia Katuni zilizofanana na wao katika kukomenti na hata kwenye profile picha zao za Facebook. Hao Katuni wanaowatumia huitwa “Avatar”. Avatar wapo mpaka katika mitando kama Instagram na Snapchat pia.
Avatar katika Facebook in Katuni ambae hutumika kama muwakilishi wako. Yani kwamfano unataka kutuma picha kwenye komenti inayoonesha unacheka, unweza tu Kutuma picha au stika ya Avatar akiwa anacheka.

Download na kuangalia movie zote bure kwenye simu GUSA HAPA>>

Ili kuwa na avatar katika Facebook ni lazima umtengeneze. Tena Avatar utakemtengeza anatakwa afanane na wewe maana ni muwakilishi wako katika Facebook.

Jinsi ya kutengeneza Avatar kwenywe Facebook

Kutengeneza Avatar ni rahisi tu, hauitaji ujuzi sanaaa. Kwanza Facebook wenyewe wanataka Kila mtu awe na avatar wake kwaiyo wamekaka urahisi katika kutengeneza Avatar. Kama unahitaji kutengeneza Avatar basi unaeza fuata hatua zituatazo:

  • Fungua app yako ya Facebook
  • Gusa vimistari vitatu kisha gusa jina lako utakaloliona juu baada ya kugusa vimistari.
  • Abaada ya kufanya hivyo utatua katika Ukurasa wa profile yako. Achana na vitu vyote hapo, tafuta kisehemu kilichoandikwa “Avatars” na uguse.
  • Ukishagusa unapelekwa sehemu ya kumtengeneza Avatar wako sasa.
  • Kumtengeneza Avatar ni rahisi tu, utakua unachangua rangi rake,macho,nguo na muonekano Kwa ujumla.
  • Ukisha maliza kumtengeneza utagusa batani ya blue ilioandikwa “Done“.

Kwa kufanya hivyo utakua tayari una Avatar wako katika Facebook. Lakini unachotakiwa kujua ni kwamba Avatar ni kitu kidogo lakini kikubwa sana. watakua wanatumiaka sana na binadamu katika miaka ijayo kuliko sasa. Tutakuja kuzungunzia kuhusu hili siku za mbele.

Ukiona dalili hizi Jua Account yako ya Facebook  imedukuliwa na si salama GUSA HAPA>>>>

One thought on “Jinsi ya kutengeneza Avatar kwenye Facebook (Katuni)”

Comments are closed.