Download na Kuangalia movies zote mpya bure kwenye simu yako

Je, wewe ni mpenzi wa movies? Kama wewe ni mpenzi wa movies, basi tambua leo umepata bahati ya kujua na kupata kitu kizuri kuhusiana na movies.

Ukweli ni kwamba, ni ngumu sana kwa wapenda movies hapa nchini kupata, Download na Kuangalia movies mpya au zilizotoka karibuni bure. Katika baadhi ya nchi zilizoendelea huwa kunakua na tuvuti za movies zinazoruhusu baadhi ya movie kuangaliwa bure. Tuvuti hizi huwa na matangazo ambayo huwezesha huduma kuwa bure.

Kutokana na sababu mbalimbali, tuvuti hizi huwa hazioneshi baadhi ya movies nzuri au mpya kwa watu walio nje ya nchi zilizoendelea. Mfano; Ukiwa nchi nyingi za Afrika, hauwezi ona baadhi ya movies nzuri kutoka kwenye tuvuti ya TubiTv inayotoa huduma za movies bure.

Kiufupi usipokua tayari kulipia, unaweza chelewa sana kupata movies mpya au nzuri. Kuna baadhi ya watu huwa wanafanikiwa kupata movies baada miezi miwili au mitatu kabisa toka zitoke.

Lakini kitu kizuri ni kwamba kuna Android app ambayo inakuwezesha kudownload na kuangalia movies nyingi Duniani, hataitoke sasa ivi. Kupitia hii app unaweza Kuangalia movies zote (zazamani na mpya). Inakuwezesha kudownload na Kuangalia mamilioni ya movies kiasi kwamba hata uwe unaangalia kila siku movie Moja Kwa miaka 4, hauwezi maliza. Hebu angalia baadhi ya picha za app hii hapa chini…

App kama hii kikawaida hulipiwa zaidi ya elfu 20,000 Kwa mwezi Lakini katika internet bure. Kwa maelezo yaliopo kuhusu app hii ni kwamba haijihusishi na kunza movies ili uziangalie bali inakuunganisha na movies ambazo watu kama wewe wameziweka mtandaoni. Kwaiyo kiufupi, ni app ambayo inakukusanyia movies ambazo zimewekwa na watu mtandaoni na unaweza ziangalia bure.

Ukihitaji kuijaribu app hii kwenye kwenye simu yako, utatakiwa kuipakua kwenye simu alafu utaiingiza(install) na kuifungua. Kupakua app hii, bonyeza kitufe kilichopo hapa chini.

Lakini kabla hauja jaribu, fahamu kuwa app hii haipatikani Playstore na app nyingi zisizopatika Playstore huwa ni hatari kwa taalifa zako zilizopo kwenye simu. App hii inaweza zuiwa na Google Play Protect kutokana na kuwa na tabia za App hatari.

Sisi kama The bestgalaxy hatukushauri moja kuiamini ila unaweza jaribu kuitumia kama baadhi ya watu wanavyoitumia.

Ili kujua mambo mengi kuhusu simu yako na teknolojia Kwa ujumla, usiache fuatilia website hii…

Mtu akiku “Block” WhatsApp unaweza fanya hivi kuchati nae GUSA HAPA>>>

40 thoughts on “Download na Kuangalia movies zote mpya bure kwenye simu yako”

Comments are closed.