
“Mh litoto hili yaani limeona shida mpaka kukaa na kaka yake hapa.. mhm” alafu nae akaanza kuelekea huko huko vyumbani na kuniacha pale nikiwa nawaza “kwanini Suzy mejiondoa haraka karibu yangu aliposikia mama yake anakuja wakati mama yake anataka ajisogeze kwa wanaume?” Nilijiuliza lakini sikuweza kupata jibu maana waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza hivyo nilinyooka tu na ninayoyajua kuwa; Suzy hapatani na mama yake kwasababu ya utomboy alionao ingawa katika siku hiyo niliweza kujenga ukaribu flani wa kawaida na Suzy lakini iliaonekana kabisa kuwa hataki mama yake aone tunaukaribu wowote na sababu ya Suzy kufanya hivyo bado ilikua ni giza kwangu…
Basi siku hiyo ilikua ndefu sana kwangu kutokana na Mimi kuwa mgeni katika nyumba hiyo lakini siku iliisha na iliniishia nikiwa nimelala kwenye kitanda cha chumba changu nilichopewa kilichopo humo humo ndani. Niliteseka sana kupata usingizi siku hiyo kutokana na kuwa na hamu iliopitiliza ya kufanya Mapenzi maana mchana mzima nilikua nikipandishwa mihamu tu na mtoto mzuri Suzy yaani nilikua kila nikifumba macho ili nilale mapicha picha ya mwili wake yananijia mara mawazo yangu yananipeleka nahisi Kama tayari nimeisha mkamata, kaingia mchezoni namchezea analia… lakini mwisho usingizi ukanichukua.
Siku iliofuata niliamka asubui sana kabla ya wote kuamka maana siku hiyo ndio ilikua yakuanza kazi rasimi. Nilijiandaa kikazi nikaenda chumba cha store kuchukua mkasi wa maua na vifaa vingine alafu nikaanza kuishughulikia bustani kwa kuipunguza majani na kuisafisha kiujumla. Nilikua napunguza maua kama alivyo nielekeza Suzy siku ya kwanza ili nimfurahishe bosi wangu. Jasho zilikua zikinitililika kutokana na kuifanya kazi kwa haraka nikiwa na umakini mkubwa.
Wakati nikiendelea kufanya kazi nilianza kusikia kelele za mama mwenye nyumba zikiendelea ndani na hii ilikua ni ishara tosha kuwa Suzy na mama yake wameisha amka maana nilishaanza kuwazoea kuwa hawawezi kuwa pamoja bila kutupiana maneno. Wakati huo nilikua nimeshika ndoo ya kubebea takataka na napita kila chini ya ua nililolipunguza kisha naokota vipande nilivyovikata pamoja na takataka nyingine nitakazozikuta ili kuyafanya maua yawekatika hali ya usafi. Nilipita katika maua kadhaa nilifanya hivyo lakini wakati nikiendelea nilifika sehemu nikakiona kipisi cha sigara chini ya ua, niliinama ili nikiokote na wakati nakiokota niliangaza na macho yangu sehemu hiyo vizuri, nikakuta hakipo kimoja bali vipo vingi sana ila nilikiona hicho kimoja kwa urahisi kwasababu kilikua ni kipya kuliko vingine. Nilichukua kile kimoja na kunyanyuka nacho huku nikiiangalia kwa umakini; niligundua jivu lake si la muda mrefu yaani ilivutwa Kati ya siku moja au mbili zilizopita.

“Mh hii nyumba balaa… Sasa humu ndani anaetumia hivi vitu ni nani?… Kwamba ni Suzy au huyu mama mkalimkali?” nilijiuliza hivyo huku nikiwa nimesimama nakiangalia kipisi cha sigara, Ghafla nikasikia sauti kubwa “Gririririiiiii..!!!” Nikashtuka nakutupa haraka kile kipisi kisha nikaangalia sehemu ilikotokea sauti nikagundua kumbe lilikua ni geti likijifungua kulipisha gari la mama mwenye nyumba aliekua akienda kazini muda huo. Baada ya kugundua ni geti. Roho yangu ilianza kutulia kidogo maana nilishtuka sana kwakua ni sauti ambayo sikuitarajia kabisa kwa wakati ule yaani mpaka mapigo ya moyo yaliongezeka lakini baada ya hapo nikakumbuka kuwa humo ndani nimebaki na Suzy tu kisha nilitabasamu huku nikiwaza kuwa “Jana niliweza kumfurahisha na kuiona aibu ya Suzy nilipo msifu. Inaonesha anapenda kusifiwa sasa leo namsifu mpaka kwenye mwili wake… Akiniletea tena aibu namtongoza ikiwezekana na lamba asali kabisa maana kama ameweza nionea aibu basi hata Utomboy anaweza niwekea pembeni”
Basi niliviondoa vipande vya sigara na nikaendelea kupiga kazi lakini ilipofika saa4 asubui nilirudisha vifaa store kisha nikaingia ndani ili niende kwenye bafu la chumbani kwangu kuoga maana nilikua nimeloa jasho na nguo pia zilikua zimeloa jasho. Nilipokuanaingia ndani nilimuona Suzy amevaa kisketi kifupi kama cha watoto washule, paja zote nje kama kawaida yake na alikua amekaa kwenye sofa, amewasha Tv lakini yeye yupo busy kuchezea simu yake. Wakati nikitupa tu macho yangu kwenye miguu na pajazake, nilihisi mkono wangu wa chini ukijitutumua lakini kwa bahati nzuri nilivaa suluali ngumu hivyo haikua lahisi kuonekana kuwa mkono umeisha amka. Aliacha kuchezea simu na kunigeukia nilipokua naingia, aliniangalia akatabasam alafu akiniambia “Pole na kazi”
“Dah Asante Sana Suzy… Pole na wewe pia”
“Asante… Vipi lakini umeamkaje leo?”
“Salama kabisa sijui wewe”
“Mi nikio vizuri na chakula kipo tayari”
“Anh sawa.. ngoja nikatoe toe jasho hizi bafuni maana naona zimezidi mno”
“Haha Sawa, utanikuta hapa nakusubili maana hata mimi sijala”
“Mh hujala mpaka saizi wakati wewe ndie uliepika?.. ulikua unangoja nini Sasa?”
“Hahaha amna, nimeona tu nikusubiri rafiki yangu… Kwani kuna ubaya?”
“Duh hapana… Basi nikaoge chap alafu nije”
“Sawa” alinijibu huku nikielekea katika chumba changu na moyo ukiripuka kwa furaha baada ya kuona ukaribu wetu unaendelea kustawi na haniletei mikazo sanaa kama mwanzo…
Niliingia chumbani kwangu alfu nikavua Shati nilioivaa kisha nikamalizia suluali nilioivaa na nlipoivua niliona mkono wangu wa chini bado umesimama tu kwasababu mawazo yangu pia yalikua yanawaza kumkuna Suzy tu. Niliingia kuonga na nikatoka lakini bado muogo uliendelea kusimama maana mihamu niliokua akinipa mtoto Suzy, ilikua haina kipimo. Kutokana na kusimama kwa mkono wangu wa chii ilinilazimu kuvaa tena nguo ngumu ngumu ili niweze kuwa huru mbele ya Suzy. Nilichomoa jinsi langu moja gumu katika begi langu kisha nikaanza kulivaa lakini wakati namalizia tu kulivaa nikasikia mlango wa chumbani kwangu ukigongwa “Ngo ngo ngo” niliganda na kukaakimya nilijiuliza kichwani “Nani?” nikasika tena mlango ukigongwa “Ngo ngo ngo” pamoja na sauti ya Suzy ikisema “Hodi kaka!”…
INAENDELEA…
Unataka tukutumie simulizi nzima kwa njia ya WhatsApp? GUSA HAPA
4 thoughts on “SUKARI YA DADA 06 🔞”
Comments are closed.