
Baada tu ya kumaliza kugonga nikasika sauti ya mama ambae nilihisi kuwa ndie mama mwenye nyumba akimfokea biti yake ndani “ivi wewe inamaana, huo mlango unaogongwa huusikii au?!.. huo upumbavu wako ndiomaana kila siku nakwambia tafuta mume uniondokee we hutaki! na huo uzuri wako, utazeekea hapa hapa mbwa wee! kafungue mlango huko!” Alafu baada ya sekunde chache, mlango ukafunguliwa na dada mmoja mzuri sana mwenye asili ya kizungu akiwa kavaaa blauzi na kibukta cha maua kilichokua kifupi mno yaani uvaaji wake tu ulinionesha kuwa ni mtoto wakike alielelewa malezi ya kizungu na yenye kudekezwa ndani yake.
Aliniambia “Kariiiibu” akiwa anamaana niingie ndani nami nilimwambia “Asante sana” huku nikiingia na nilipoingia tu niliskia sauti ya kunichangamkia ya mama mwenye nyumba aliekua amekaa kwenye kiti huku amepakata Laptop “Anha karibu baba, we ndio yule kijana wa kazi ehee!?”
Nilimjibu”Ndio mama, shikamoo”
Akasema “Marahaba, karibu.. karibu ukae” kisha akamwambia kwa ukali yule binti yake wakike ambae muda huo alikua yupo karibu yangu “Unazubaa zubaa nini!?!. Hebu mpokee kaka ako begi, peleka ndani kwenye chumba chake!” Yule dada alinipokea begi langu na kuanza kutembea kidogo kidogo kuelekea katika vyumba kwa mwendo wa kulazimishwa lakini bado mamaake alimsindikiza kwa maneno “Yaani Suzy ukiona mimi nakutesa rudi kwa baba ako Uingereza ambae amekuruhusu kitoto kidogo uache shule kule, uje kufungua maduka ya nguo huku!! Ona sasa biashara zinavyokuchanganya… na nilisha kwambia, kwakua umekimbilia kumiliki vitu vikubwa basi malizia tu na kutolewa maana staki Utomboy wako hapa!!!”
Yaani ndani ya dakika chache nilipoingia kwenye nyumba hiyo nilianza kupata picha ya maisha ya familia hiyo kutokana na maneno aliokua akiyatoa mama mwenye nyumba na nilishtuka kidogo kusikia neno Tomboy maana wanawake ambao huitwa jina hilo huwa hawajihusishi sana na wanaume na ilikua ni ngumu kuamini kuwa pamoja na uzuri wote alionao Suzy alikua hana na haitaji mwanaume.

Baada ya mama kuongea maneno hayo tulianza kuongea mambo ambayo yalinileta pale… Aliniambia kulikua na mfanyakazi ambae alikuawa anafanya kazi kabla yangu lakini alimfukuza kutokana na kesi ya wizi hivyo asingependa kuniona nikirudia makosa na pia alinipa sheria kuwa nikiwa humo ndani sipaswi kutumia simu kabisa, nilikubaliana na yote alioniambia na tulipo malizia tu kuongea akawa anajitokeza Suzy toka alikokua ameenda. Mama alipomuona Suzy karudi alimwambia “Enhe Suzi hebu kabla hajapumzika mzungushe zingushe kaka ako sehemu ambazo alikua anafanya kazi yule mwizi. Mimi nataka kwenda kwenye kikao sasaivi maana naona wenzangu wananitumia ujumbe kwa njia ya email kuwa nahitajika haraka ila usisahau kumpa chakula” Suz Alijibu “Ok mamy” alafu akaniambia “Twende basi.. nifuate nikakuoneshe” huku akiufungua mlango na kuelekea nje mimi pia nilifanya kama alivyoniambia, nikatokannje na nikawa nikonyuma yake tukitembea kuelekea sehemu ambazo alikua ananipeleka. Kila hatua aliokua akiipiga Suzy ilikua ni mtihani mkubwa sana kwangu maana alikua akitembea, mzigo wake wa nyuma ulikua unajipiga piga kwa kupishana pishana ukiachilia mbali kibukta kifupi alicho kivaa ambacho kilikua kifupi kulikopaja zake na kufanya paja zote kua nje yaani kiukweli alinona mno na alikua anafanya akili yangu ihame lakini yeye alikua haelewi lolote na mbaya zaidi ni kwamba alijiachia mno kwakua huo ndio uvaaji wake wa mara kwa mara akiwa nyumbani pia mama yake inaonekana alikua hamuwaziii kabisa kuhusu mavazi.
Tukatembea mpaka tukafika katika bustani kubwa ya maua na tulipo fika nilishtuka kidogo kusikia Suzy aliniambia “Sasa bigi.. hii ndio bustani ambayo utakua unaishughulikia na kuhakikisha majani hayakui zaidi ya hapa maana bi mkubwa huwa hapendi majani yazidi hapa”
Nilijibu “Sawa” lakini kiukweli uongeaji wake ulikua ni wakujiamini kama mwanaume mpaka nikajiuliza kimoyo moyo “Mh Sawa amenichanganya lakini nitamuingiaje huyu?” lakini nilijipa moyo huwenda Penzi linaweza mbadilisha…
INAENDELEA…
Unataka tukutumie simulizi nzima kwa njia ya WhatsApp? GUSA HAPA
One thought on “SUKARI YA DADA 03 🔞”
Comments are closed.