SUKARI YA DADA 01 🔞

Usiku uliotulia nilikua nipo kitandani nikiiwaza safari ambayo nilikua nimeisha jiandaa kuianza pindi kutakapo kucha. Safari hii ilikua ni yakwenda Dar es salaam kwaajili ya kufanya kazi katika Jumba moja la kifahari baada ya matokeo yangu kuwa mabaya na kushindwa kuingia kidato cha tano ili kuendelea na masomo. Pia binafsi sikupenda kuendelea maana nlikua sielewi kabisa vitu vinavyoendelea Darasani kutokana na kichwa kuwa na mambo mengi ikiwemo mambo ya ugomvi katika familia yetu. Baadae usingizi ulinichukua kisha nikashtushwa na Alam ya simu yangu nilioitega iniamshe ili niwahi gari kabla halijaondoka maana magari ya hapa iringa huwa yanajali sana muda kiasi ambacho ukichelewa dakika chache tu, unaweza achwa. Nilijiandaa, nikalibeba begi langu la nguo na wallet iliojaa pesa kwaajili ya matumizi yoyote yatakayojitokeza kisha nikaenda kupanda gari na safari ikaanza.

Wakati gari ikiendelea kwenda nilikua nikiliwaza jiji la Dar maana hiyo ilikua ni safari yangu ya kwanza na nilikua nikipewa Simulizi nyingi kuhusu jiji hilo ila sikua na hofu saaana maana namba ya simu ya wenyeji wangu nilipewa ili niwapigie nikifika kwaajili ya kunichukua na kunipeleka moja kwa moja katika nyumba yao.
Baada ya masaa mengi sana na vipindi vichache vya usingizi,gari iliingia Dar mida ya usiku sana. Nilitoka kwenye gari na begi langu mkononi nikiwa ninalishika kisawa sawa ili lisinyakuliwe na vibaka maana nilikua nikiskia kuwa wageni hukaribishwa Dar kwa namna ya pekee sana hahaha. Ulikua ni usiku lakini watu walikua wengi mno na kila mtu yuko busy na shughuli zake. kwa umakini mkubwa, nilinyooka katika sehemu ya duka ambayo nilihisi ni salama kisha nikachomoa simu yangu na kuipigia namba ya mwenyeji wangu.. lakini ghafla wakati nikiiweka simu sikioni kuna mtu aliipitia simu yangu kwa kasi ya ajabu na kwakua tukio lilikua la ghafla, nilibaki nimeduwa tu nikimuangalia aliechukua simu yangu akijichanganya katikati ya watu mpaka akatokomea.

Niliangalia kulia na kushoto nikaona hakuna mtu anaejishughulisha na tukio langu la kuibiwa simu. Nikaamua kukubaliana na uhalisia na wala sikua na hofu juu ya kukutana na wenyeji wangu kwakua namba zao nilikua nimezihifadhi pia katika kikaratasi kilichopo kwenye begi langu hivyo changamoto iliokuepo ilikua ni simu tu lakini muda huo ulikua si rahisi kupata simu ya kuwasiliana nao kwakua ulikua ni usiku sana na hatua pekee niliochukua ni kutafuta chumba katika nyumba za wageni maana pesa nilikua nazo za kutosha. Nilibahatika kupata chumba katika Guest moja bomba sana nikaamua kuingia humo ili nipate kupumzika.

Kutokana na uchovu wa safari, sikupoteza muda.. nilifunga mlango na kujitupa kitandani kama mzigo “Bwaah” lakini punde si punde nikasikia mlango wa chumba hicho ukigongwa “Ngo,ngo,ngo!!” “Ngo,ngo,ngo”. Niliamka kwa hasira mno maana nilona kama ni usumbufu vile lakini hasira zote ziliniisha nilipofungua mlango na kukutana na mrembo mweupee, mzuri, mwenye shepu la hatari na macho ya kulegea akisema “Samahani wangu.. naitwa Tausi, nlikua nataka kukufahamisha kuwa kama uko pekeako tunaweza kujumuika pamoja mpaka hasubui”
“Mh kujumuika? Kujumuika kivipi mbona sijakuelewa dada angu”

Duh… ilibidi niulize anamaana gani japo nilifahamu alichokua akizungumzia lakini ukweli ni kwamba nilipanga kutojihusisha nawanawake wamitindo hiyo lakini nilishindwa kujizuia aliponijibu…
“Yaani namaanisha kama utahitaji tulale wote.. nipo kwaajili yako na nitakupa kila kitu unacho hitaji” huku akivutia kwa juu kinguo chake kifupi ili nione paja zilizo nona.
“Sawa lakini..”
“Lakini nini wangu?”
“Okay.. okay.. ingia ndani.. ingia ndani.. karibu” nilijibu kwa kigugumizi sana maana muda huo nilikua ni kama nimetekwa na akili na nimetolewa kwenye msimamo wangu kwa uzuri wake..
“Asante.. mambo vipi lakini?”
“Safi tu, mzima?”
“Mi mzima tu wangu”
Nikamwambia jina akaingia ndani na katika chumba changu kulikua kumetawaliwa na kitanda pamoja na kiti kimoja tu ambacho alikitumia kuweka mkoba wake kisha akaanza kuvipunguza vitu katika mwili wake kwa kuanza hereni na mkufu wa gold ulikua ukiking’arisha kifua chake kilicho na vitunda vilivyosimama kama mshale. Nikiwa nimekaa kitandani niliendelea kumshuhudia Tausi akizidondosha nguo zake moja baada ya nyingine mpaka akabaki na nguo ya kwanza tena ilikua ni kama kikamba tu katika mwili wake… Alikua amejaza mzigo nyuma kuliko sehemu zake zote. Baada ya kupunguza vitu katika mwili wake, alinigeukia na kuniambia “Nahitaji kuoga kwanza wangu.. nafikiri tutaenda wotee”
“Mh nafikiri unge.. unge.. ungeeenda tu hat.. hata usijari” niliongea kwa kigugumizi kutokana na hamu ilionizidi kiasi kwamba hata mate yalikua magumu kuyameza.
“Hapana wangu.. twende bafuni, usiogape kwasababu Mimi nipo hapa kwasababu yako”
“Dah… Okay.. bas.. basi tangulia nakuja”
“Sawa”alijibu huku akielekea kwenye bafu ambalo lilikua ndani ya chumba hicho hicho. Alipoingia tu bafuni sikutaka kupoteza muda, nlichomoa nguo zote nikabaki na nguo ya ndani tu huku nikiwa tayari nimejitutumua mpaka mishipa ya kichwa imesimama tayari kwa kuilamba Sukari ya Tausi. Nilijiweka Sawa kisha nikasogelea chumba cha bafu ambacho kilikua kinasikika kelele za maji ya kitiririka mwilini mwa Tausi lakini ghafla kabla sijaingia ndani yake niliskia kishindo kizito sana ndani ya bafu “Mbuuh!!” kikiambatana na “Mamaaaah!!!”.

INAENDELEA…

Gusa kitufe hiki chini kusoma sehemu inayofuata.

Unataka tukutumie simulizi nzima kwa njia ya WhatsApp? GUSA HAPA

38 thoughts on “SUKARI YA DADA 01 🔞”

Comments are closed.