SMS ZA VICHEKESHO ZATAKAZOKUFANYA UCHEKE MPAKA UVUNJE MBAVU


🙊🙈✍️
JAMAA KATOKA CHURCH KAFIKA HOME KWAKE, AKAMKUMBATIA MKEWE NA KUMBEBA JUU JUU KWA HAMAKI… 😴😴

MKE; KWANI VP LEO MUMEWANGU MAPENZI YAMEONGEZEKA MPK UNAYAFANYA HAYA MPK NASHANGAA.. !!!!🙄🙄

MUME: AKAMJIBU MKEWE KUWA CHURCH WAMEAMBIWA WAYANYANYUE MATATIZO Yao JUU MUNGU AYAONE… 🙆🙆🙆🏃🏃🙆😭

Gusa hapa>> CHEKA NA UVUNJE MBAVU ZAKO KWA KUFUTA VICHEKESHO HAPA


SOMA UONGEZE SIKU ZA KUISHI..

Binti alipokea txt kwny cm yake “Hi,mremb una boyfriend?” BINTI:Ndio, ninae kwan we nan?? “Mimi ni baba yako naomb nkukute hapo nyumbn unielez vzuri” Baad ya mda kidog akapokea text nyingn “Hlw!,una boyfriend?” BINTI:Cna kabixaa! Bt u nan tena?? “Mi ni boyfriend wako nlitak kujua unavyojicfia kuw na mm, kwl nimegundua hunipend” BINTI:Oh,sorr bby nlijua baba ang mana ametok kuniulza swl iloilo! “Yes,ndio mm baba yako yan leo utantambua nkirud uko shenz ww

Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.*
*Basi Mwerevu akaingia na maswali yakawa hivi:-*
*Msaili:- Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?*
*Mwerevu:- ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mpaka 1961 kutokana na sababu mbalimbali..*
*Msaili:- Nani hasa alihusika na upatikanaji wa Uhuru huo?*
*Mwerevu:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J.K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia.*
*Msaili:- Inasemekana katika sayari ya Mars kuna viumbe wanaishi, je ni Kweli?*
*Mwerevu:- Watu wengi wanasema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi.*
*Baada ya Mwerevu kutoka basi Mjinga akapewa majibu yote..*
*Kuingia ktk usaili maswali yakawa hivi:-*
*Msaili:- Tuambie ulizaliwa mwaka gani?*
*Mjinga:- Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele mpaka mwaka 1961 kutokana na sababu mbali mbali.*
*Msaili:- Mungu Wangu, BABA yako anaitwa nani?*
*Mjinga:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J. K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia .*
*Msaili:- Hivi wewe ni chizi?*
*Mjinga:- watu wengi husema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi*😂😂😂😂😂😂

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO


majamaa watatu walikodi chumba katika hoteli moja hapa mjini, wakawa wamepata chumba cha mwisho kabixa ambacho kipo ghorofa ya hamsini (50), walipotoka walirudi wakakuta umeme umekatika, hvyo iliwabidi kupanda ngazi ili waeze kufika kwny chumba chao, hivyo walikubaliana wakwanza atapiga stori ya kuchekesha, wapili atapiga stori za kutisha na watatu atawapigia stori za kuhuzunisha, wa kwanza alpiga ctor za kuchekesa mpk walpo fika ghorofa ya 15, akafata yule wa pili akawapigia ctori za kutisha mpk walipofika ghorofa ya 30, akapokea yule watatu akawapigia story za kuhuzunisha. walipofika ghorofa ya 50 aliwageukia wenzake na kuwaambia na hii ndo yakuhuzunisha zaidi, TUMESAHAU KUCHUKUA UFUNGUO PALE MAPOKEZI…

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO