JINSI YA KUMRUDISHA MPENZI ALIEKUACHA (EX WAKO)

1. Kata Njia Zote Za Mawasiliano Naye

ILi kumrudisha mpenzi wako Kwanza anatakiwa ajue ni kwa kiasi gani anakumiss na njia pekee ya kufanya hivyo ni kukata mawasiliano naye hii itasaidia kumpa muda wa kufikiria ni umuhimu gani unao Kwenye maisha yake.

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO

2. Jaribu Kuwa Bize na Mambo Yako

Muda wowote Mahusiano yakiisha kila mmoja anataka kujua ex wake anafanya nini na kama anaendelea na maisha hivyo ni muhimu kujikita katika mambo yako binafsi hii itakukosesha muda wa kuanza kumuwaza na kumtafuta Ex wako na endapo ataona unafanya mambo yako ya maendelo basi atavutiwa zaidi.

3. Muonyeshe Anachokikosa Kutoka kwako

Kama unataka kumrudisha Ex wako jaribu kumkumbusha sababu za kukupenda Mwanzoni ni muhimu kujua sababu za kuachana na kutumia zile sababu kujiboresha zaidi na kujionyesha kuwa umekuwa na kubadilika na kuwa endapo atakupa nafasi basi utakuwa tayari

Gusa hapa>> USOME JAMBO ZURI ZAIDI KWAAJILI YAKO